Tanzania's Marketplace For Products & Services
Karibuni Mitandio ya aina mbalimbali Kuna: -Instant ready to wear Mitandio material mpira sh. 7,000 -Mpira plain Na Shiffon plain sh. 6,000 -Cotton silk.Rejareja sh. 8,000 | Jumla sh.7,000 Ipo katika size tofauti na inavalika na rika zote. Tunauza jumla na rejareja, tunafanya delivery kwa Dar es Salaam na mikoani tunatuma pia. Tunapatikana Tabata Kinyerezi, ni biashara ya mtandaoni. Kwa maelekezo zaidi piga/ bonyeza link kunitext whatsap 0784 829565 https://api.whatsapp.com/send?phone=2550784829565&text=Hijab_solutiontz Group link kupata update za Mitandio https://chat.whatsapp.com/IGoreruCzsm2mrdyg8sUvH Tunapatikana pia kupitia mitandao hii: Instagram: @hijab_solutiontz Telegram: t.me/hijabsolutiontz Facebook: Hijab Solutiontz Twitter: hijab_solutiontz Snapchat: Hijab Solutiontz #hijab_solutiontz Less