Karibuni Mitandio ya aina mbalimbali. Tunapatikana Tabata kinyerezi. Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja
- Shiffon hariri sh 7000. Jumla sh 6000 kuanzia pc 3
- Mpira plain/Jersey plain sh 6000 tu.
- Cotton turkey sh 6000
-Delivery ipo unalipia sh 2,000 kwa Dar Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja.