Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Meza za kupikia

Tsh 55,000

Product Details:

KARIBU sana Joh. Cabinet  zipo meza za aina mbali mbali na design tofauti tofaut kutokana na design yake bei nayo inakuwa tofauti ok kuna meza za 55,000,mpaka 60,000 hizi zinakuwa hazina mlango yaani open cabinet  kuna meza za 75,000 mpaka 80,000 hizi zinakuwa za mlango mmoja alafu pia kuna meza za 85,000 mpaka 130,000 hizi zinakuwa za milango miwili lakin size na muundo zinakuwa tofauti haitoshi pia kuna meza za milango mitatu zinaanzia 150,000 mpaka 190,000 hapa zipo za MBF na mbao kawaida..lakini pia zipo za milango minne zinaanzia 195,000 mpaka 230,000 lakini pia kuna meza za jikoni zenye sink la kuoshea vyombo ambapo zipo kuanzia 190,000 mpaka 250,000  lakini zinakuja meza za jikoni ambazo zimeungana na kikabati kwa pembeni hizo ni kuanzia 250,000 mpaka 280,000  karibuni sana JOH CABINET kwa mawasiliano tupigie 0623011171 au 0672666281..au tutumie sample ya kitchen cabinet unayotaka kutengenezewa asante

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com