Jipatie alarm kwaajili ya ulinzi na usalama wa gari yako zenye ubora kwa gharama nafuu. Alarm zetu bei ni kuanzia
120,000/= warrant miezi sita
150,000/= warrant mwaka mmoja
180,000/= warrant miaka mitatu
280,000/= warrant miaka mitano.
Kwa wateja wa Dar tunakufuata na kukufungia ulipo bila gharama za ziada wala usumbufu wa aina yoyote. Tunakuhakikishia ubora ktk bidhaa zetu na pia tunao mafundi wa uhakika ambao watahakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili chombo chako kibaki salama.