Post Your Ad

Intruder security alarm system

Tsh 380,000

Product Details:

-System kiboko ya wezi warukao ukuta na kuvunja kuingia ndani kwako kufanya uhalifu kama wizi na hata kujeruhi pia. -Intruder security alarm system ni mfumo wenye sensor zinazohisi endapo mtu ameingia katika eneo lako zikihisi tuu alarm itapiga kelele na wakati huohuo utapokea simu na sms ya hali ya hatarii. -Pia Kuna sensor za mlango ambapo mtu akifungua mlango tuu alarm itapiga kelele na kukupigia simu kukupa taarifa ya hali ya hatari. Hii bei ni pamoja na ufundi Tunapatikana Sinza kumekucha