Hii ni car security alarm ambayo
Hufunga na kufungua milango ya gari yako kwa kutumia remote yake
Ikiguswa hupiga kelele kukupa taarifa kuwa gari yako imeguswa
Unapoingia kwenye gari ukiwasha na kukanyaga breki tu milango hujifunga automatic
Pia kama utaifunga kwa remote akatokea mtu akaifungua bila remote labda akafungua kwa kutumia funguo basi gari haitaondoka yaani itawaka na kuzima na kuna nyengne huwa haziwaki kabisa
Bei yake ni elfu themanini tu(80000) bila ufundi. ila ukitaka na kufungiwa ni laki na thelathini(130000)
Mikoani tuna tuma