Water pumps
Hizi Ni pump zinazotumika Kwa Visima vya Kuchimba Kwa mkono / Kupandisha Maji Juu, Kuzibua Vyoo, Wapo wanao tumia Shambani kwa Umwagiliaji,Kutumika Kutoa maji kwenye Tank Moja kwenda Lingine n.k ..
Zipo Aina Mbili za Pump ( Za maji Machafu Na za Maji Safi ) / Za Maji Safi zinakua na Impeller Ndogo, Na Za maji Machafu zinakua na Impeller Kubwa.. (Hizo kwenye Picha Ni zenye Impeller Kubwa,Hivyo Unaweza Kutumia kwa maji Machafu au Masafi.. Bei zinaenda Hivi... 1.5hp ni 390,000 Tu /3.0 hp ni 600,000 Tu.. Popote Ulipo Nje ya Mkoa Wa Dar tutakutumia, Kama upo Dsm unaweza Kufika Dukani,Mbezi beach africana