Sub Meter Za Kukata Umeme
Tuondoe utata Wa UMEME Kwenye nyumba za kupanga apartment na flem za biashara
Hii ni sub meter inayo kuwezesha wew kutumia unit zako bila kuingilia matumizi ya mtu mwingne uniti zako zikiisha inakata jambo la kuzingatia hapo kuna aina mbili tofauti kuna ya kukata na kusoma matumizi ata kwa macho zinaonekana