Tanzania's Marketplace For Products & Services
Kama Umechoka Kugombana Kuhusu Umeme Suluhisho Ili Hapa Zijue Sub Meter Za Kutumia Unit Zako Tu(Umeme Wako Tu) kuna sub meter za aina 2 1. kusoma unit tu. hii ni 25,000 2. KUTUMIA UNIT ZAKO TU hii ni 140,000 hizi ni separate meter zilizo kwa mfumo wa luku Unit zako zikiisha inakata SIO za kuhesabu unit NI nzuri kwenye nyumba za kupanga apartment na flem za biashara 140,000