Tanzania's Marketplace For Products & Services
Sub-meter/separate meter kazi yake ni kusoma umeme uliotumika kwa wiki,mwezi au mwaka ni nzuri sana hasa kwa nyumba za kupanga na nyumba binafsi unaweza kutumia pia kama utapenda kuishi kwa mahesabu zinapatikana mbezi luis jiran na magufuli terminal..