Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Fundi Umeme, Wiring

Tsh 1

Product Details:

Karibu tukufanyie wiring ya kisasa kabisa yenye mifumo yote inayojitosheleza.. sheria zote za umeme zinafuatwa (I.E.E Regulations) ili kupata matumizi sahihi ya nishati ya umeme pamoja na uimara wa mifumo yote .. Usikubali kufanyiwa wiring na fundi ambaye hana utaalamu au hajakidhi viwango vya kufanya kazi hiyo . Madhara ya kufanya hivyo ni makubwa ikiwa ni pamoja na matumizi makubwa ya umeme ambayo hayaendani na matumizi haisi . Kuungua kwa vifaa vya ndani kila marakk Hatari ya nyumba k moto KARIBU ROYAL SECURITY SOLUTION KWETU UPATE KINACHOSTAHILI ,IKIWA NI PAMOJA NA USAFI WA KAZI NA UBORA .k TUNAFANYA KAZI POPOTE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA mbezi beach makonde popote tunafanya kazi

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com