Cctv wifi bulb camera
Camera ya nyumbani yenye umbo la bulb
- Unacontrol kwa kutumia
simu yako kwa app maalum
- Inatumia wifi au memory card kuonyesha matukio na kurekodi
-Inawasha taa wakati wa usiku au muda wowote na kuzima
- Ina warning alarm ambayo unaweza kuwasha na kuzima kama ukiona hatari
-Ina sense motion pindi mtu akipita na kukupa taarifa kwa njia ya simu