Mazulia aina zote Kwa muonekano bomba Wa nyumba yako Ft6**10=90000 Ft8**12=130000 Ft10**12=140000 Ft12**12=150000 Extra Popote mzigo unafika DSM free delivery
Feni nzuri za panga boy Nauza feni nakufunga . Feni ya panga boy. Ndogo tsh 50000/= Saizi ya Kati tsh 70000/= Kubwa tsh 100000/= Kufungiwa feni tsh 30000/=
mabati Aina zote Wauzaji wa mabati ya Rangi Aina zote migongo mikubwa kwa midogo Pia tunauza na misumari ya Rangi Aina zote tunapatikana Rwagasore mwanza pia tunasafirisha kwa wateja wetu wanaoitaji kusafirishiwa tupigie...
Pc Games Gta 5 , Gta 4, Pes 2017, Fifa 2017 , Watchdog 1, Watchdogs 2 , Forza Horizon 4 , Need For Speed Payback ,Need For Speed Rivals , Need For Speed The Run, Need For Speed Hot Pursuit 2010, Need For Speed Most Wanted...
Hii ni car security alarm ambayo Hufunga na kufungua milango ya gari yako kwa kutumia remote yake Ikiguswa hupiga kelele kukupa taarifa kuwa gari yako imeguswa Unapoingia kwenye gari ukiwasha na kukanyaga breki tu milango...
Car footlight Taa Za Urembo Hzi Zinazopendezesha Gari Zinazowaka Sehemu Ya Miguuni N Led Zinawaka Rangi 7 Tofauti Tofauti Unazicontrol Na Remote Na Unaweza Kuweka Rangi Unayoitaka Bei Ni Shilingi Elfu Arobaini Na Tano(450...
Car horn. Haya zile honi zenye sauti kalii kama ya brevis,crown na harrier zipo sasa Kwa elfu 25 tu Tupo ubungo maziwa ila mkoani tunatuma For more call/whatsapp
Ni Air Fresh Ambayo Unaweza Itumia Kwenye Gari Ofisini Nyumbani Bafuni Yaani Popote Ina Harufu Nzuri Sana Na Inakaa Kwa Muda Mrefu Sana Hii Utaipata Kwa Elfu 25 Tu Mikoani Tuna Tuma
Tangastone Tunauza na kusambaza TANGASTONE nchini kote kwa rangi tofauti zitakazo ipa nyumba yako muonekano nadhifu na wa kuvutia kwa bei nafuu isiyo na mpinzani. 1.Tsh 28,000 per Sqm kwa ( BLACK TANGASTONE) 2.Tsh 30,000 ...
Marble wallpaper Je umechosha na uchakaaji wa makabati,meza,viti nk au unataka kubadilisha muonekano wa vtu vyako? Ondoa shaka mkombozi amepatkana bandika wallpaper sticker ili kubadilisha muonekano na uwe wa kisasa zaidi ...
Rongta RP326 Thermal Receipt Printer (80mm USB, serial, Ethernet Interface POS receipt thermal printer -Professional 3 inch kitchen receipt thermal printer with auto cutter. -High-speed printing of 43 receipts per minute( ...
Pump za migodini 1.5Hp-3.0Hp Hizi Ni pump zinazotumika Kwa Visima vya Kuchimba Kwa mkono / Kupandisha Maji Juu, Kuzibua Vyoo, Wapo wanao tumia Shambani kwa Umwagiliaji,Kutumika Kutoa maji kwenye Tank Moja kwenda Lingine n...
Vifaa Vya Umeme karibu tukuhudumie tuone sisi imaniel eletrics utapata vifaa vya umeme na kazi safi zinazohusiana na umeme za ubora na zenye kuzingatia usalama, kwa gharama nafuu. tunafanya wiring installation kwenye maj...
Hizi ni sub meter maalum ambazo zimefungwa rilei (Relay- hiki ni kifaa cha umeme kinacho fanya kazi kama switch) amabayo inakuwezesha kutumia kama luku ya tanesco ya kawaida ila hii inafanya kazi pamoja na luku ya tanesco ...
Multipurpose Vacuum & Blower Cleaner. Machine Ya Usafi Nyumbani. Wahi Ni Adimu Sana. Inavuta Na Kupuliza Uchafu. Ina Nguvu Sana.
bulb cctv camera Unaweza kuunganisha kwenye simu yako ili kuangalia matukio yote kupitia simu yako (live)popote duniani (wifi needed). Inauwezo wa kutoa sauti pindi uzungumzapo kupitia simu na sauti ikatoka kwenye camer...
Heat Embossed Branded Eco-Friendly Paper bags. - Comes in 5 Sizes - With Either Banana Fibre or Kitenge Handles Ideal for Safari Lunch Bags or Just Gift Shop Bags. Pricing starts from Tshs 590/- per bag. MOQ 250pcs Contact...
Pool tables Zipo pool zakutosha used kuanzia mil 1.4 na kushuka na mpya kuanzia mil 2 kushuka chini tunatuma kwa mikoa yote Tanzania office zetu zipo Dar ubungo Riverside karibuni sana
Tuna Paper (karatasi za picha)Aina zote na Gram aina zote Doble side na Single side Tupo Arusha mjini
Wallpapers Tuauza na kubandika wallpapers Tunakufikia popote ulipo Arusha na nje ya arusha Tsh 25,000 roller 1 Urefu 10.m Upana 53.CM Gundi Sh 10,000 kwa roller 4 Ufundi sh 10,000 kwa roller 1 Tupo Arusha stand kuu karibu ...
Bajaj Tvs Used Spear Parts Spea Zote Za Bajajre Na Tvs Used Na Mpya Unapata Hapa Saa24 Tupo Sinza Mapambano (Dsm) Mikoani Tunatuma Kikamilifu
mashine ya kukatia nyama,samaki ni 2 in 1 pia inasaga nyama utaipata usafiri bure mpaka ulipo warranty miaka miwili tupo kariakoo Msimbazi
Tunauza na kusambaza TANGASTONE nchini kote kwa rangi tofauti zitakazo ipa nyumba yako muonekano nadhifu na wa kuvutia kwa bei nafuu isiyo na mpinzani. 1.Tsh 28,000 per Sqm kwa ( BLACK TANGASTONE) 2.Tsh 30,000 per Sqm kwa ...
Magodoro Bora Kwa maisha marefu bei nafuu, free delivery Kwa wakazi wa dar-es-salaam, lipa baada yakupokea mzigo, Magodoro ya uhakika Tuff foam 5×6×8=175000 Kilifoam Arusha 5×6×8=205000 Comfy Arusha 5×6×8=235000 Qfl Dodoma...